Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha wa Chelsea Frank Lampard anahitaji klabu hiyo kujaribu kufanya usajili wa kiungo mkabaji wa West Ham United Declan Rice 21 ingawa hakuna dau lililotumwa. Usajili wa kiungo huyo kutokea kwa wagonga nyundo wa London kutamfanya Jorginho wa Chelsea na Italia kutua ndani ya Arsenal.(Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…