Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Historia ya majumba marefu zaidi barani Afrika ilianza mwaka 1973 kufuatia ujenzi wa jumba refu la Carlton Centers mjini Johannesburg , ambalo lilishikilia taji la jumba refu barani Afrika hadi mwezi Aprili 2019 kulingana na mtandao wa CK .
 
Haya hapa majumba marefu zaidi barani Afrika:1. Leonardo, Afrika KusiniJumba la Leonardo lina urefu wa mita 227-pamoja na ghorofa 56. Jumba hilo lilipo katika barabara ya 75 ya Maude, takriban mita 100 kutoka katka jumba la hisa la Johannesburg Stock Exchange.
 
Likiwa katika eneo la Upper hill jijini Nairobi jumba hilo lenye ghorofa 31 linatoa mandhari ya kupendeza ambapo unaweza kuona eneo la kati la mji mkuu wa Nairobi pamoja na maeneo ya viungani mwake ikiwemo mbuga ya wanyama pori ya Nairobi.
 
Back
Top Bottom