Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UAP Tower, KenyaJumba hili lililopo katika eneo la Upper Hill jijini Nairobi lina urefu wa mita 163 . Liliwahi kuwa jumbe refu nchini Kenya na Afrika mashariki kwa jumla lilipofunguliwa mwezi Julai 2016 baada ya ujenzi wake uliochukua zaidi ya miaka mitano.
 
Back
Top Bottom