moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Inapendeza kuila na sembe 😅mboga iliopigwa kwa dakika 5 bado itakuwa ni mbichi.
sembe bichiInapendeza kuila na sembe 😅
😂😂😂😂😂usibishane na wataalamumboga iliopigwa kwa dakika 5 bado itakuwa ni mbichi.
wataalamu wa siku hizi hufanya tafiti kwa lengo la kujiongezea zaidi elimu na utambuzi kwenye jamii.😂😂😂😂😂usibishane na wataalamu
SawasawaNeno la Mwisho
Ni wazi kuwa push up ni zoezi zuri sana ambalo unaweza kulifanya bila gharama au kifaa cha ziada. Jambo la kuzingatia ni kuhakikisha unafanya zoezi hili katika mazingira salama na kwa kiasi kinachotakiwa.
Swaaaaafi...
He!!....hujambo lakiniAsubuhi ya mboga za majani na mkono wa sweta.