Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kuna siku nimepita nikaangalia profile yako hapaHivi MV Bukoba limekuwa tukio la kupima umri?
Kama ni hivyo mi ni kibabu kabisa.
Maana tukio la Jumanne Lume Mwiru na wenzake kuhusika na mauaji ya Kevin Rwakatare na watu wengine zaidi ya mia8 nalikumbuka kama limetokea jana tu
Hivi MV Bukoba limekuwa tukio la kupima umri?
Kama ni hivyo mi ni kibabu kabisa.
Maana tukio la Jumanne Lume Mwiru na wenzake kuhusika na mauaji ya Kevin Rwakatare na watu wengine zaidi ya mia8 nalikumbuka kama limetokea jana tu
ππππππππEndelea kunilinda mzee wa pwani maana Esta ananichambua balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwahiyo wakati Jumanne Lume Mwiru anaua watu pale Ziwa Victoria ulikuwa wapi bint MpoleNdio kipimo tosha.
Ustadh ee hayo matukio uliyosoma gazetini sie bana hatuelewi ila kwa anko aaaah usitulishe ndimu nyingi.
Achana na profile magumash hiyoKuna siku nimepita nikaangalia profile yako hapa
Aisee Kumbe ustaadh wewe mkubwa hivyo [emoji119]
Halafu dunia inaenda kasi sana jamani .. yaani waliozaliwa Mwaka 1970 Wana miaka 50 Sasa hivi[emoji119]
Ingawa ni kweli nimekuzidi lakini usiangalie hiyo kituKuna siku nimepita nikaangalia profile yako hapa
Aisee Kumbe ustaadh wewe mkubwa hivyo [emoji119]
Halafu dunia inaenda kasi sana jamani .. yaani waliozaliwa Mwaka 1970 Wana miaka 50 Sasa hivi[emoji119]
Hahahahahahaha, we mzee ati una miaka 30![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kunilinda mzee wa pwani maana Esta ananichambua balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe ya uongo!Achana na profile magumash hiyo
Hahaha sawa Ustaadh.Ingawa ni kweli nimekuzidi lakini usiangalie hiyo kitu
Hata sijui nimemkosea nini Esta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahaha, we mzee ati una miaka 30![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mi simo
Anne hujambo?Hahaha sawa Ustaadh.
Nitajie ya kweli basi
Sijambo ankoAnne hujambo?
Umesha rudi?
πππππ nilikua na anko shuleKwahiyo wakati Jumanne Lume Mwiru anaua watu pale Ziwa Victoria ulikuwa wapi bint Mpole
πππππππHata sijui nimemkosea nini Esta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kweli niwe na namba ya kliniki?!! Hapana. Bila ya uhakiki wa vyeti na kuongeza jina la tatu nisingekuwa na cheti cha kuzaliwa kabisa.
Mkuu wewe endelea kunitetea bila kuchoka
AiseeKocha wa Barcelona Ronald Koeman anataka kumuongeza mshambuliaji wa Lyon na uholanzi Memphis Depay, 26, katika kikosi chake Januari. (AD, via Goal
Marahaba mama, karibuSijambo anko
Shikamoo