Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ngoja kwanza waangalizi wao wa European Union watoe ripoti yao. Wakisema kwa kiasi kikubwa uchaguzi ulikuwa wa amani, huru na haki pamoja na kasoro za hapa na pale mambo yatakuwa poa. Ila wakisema uchaguzi uligubikwa na mizengwe na ulikuwa mbovu ndo hapo kutakuwa na kukoromewa sana. Bila shaka Amsterdam na mteja wake watakuwa tayari wameshapeleka ripoti yao huko.Duh kumbe. Naona mabeberu kimyaaa,sijui wanatuundia ishu gani
Sema TH. Tumemaliza uchaguzi salama sasa ni raha tupu ng'wanawane...[emoji23][emoji23][emoji23]The don huyooo
Ukawe dereva au mtunza mahesabu yake?Haha
Haha madai Jimbo lake litatangazwa jioni, niko hapa nasubiri anuani yake nitume barua ya kazi[emoji23]
Hata niwe mtunza kumbukumbu tuu,Ukawe dereva, mpishi au mtunza mahesabu yake?
Kakijana kako nako kalipotelea wapi?
Sema TH. Tumemaliza uchaguzi salama sasa ni raha tupu ng'wanawane...
Itakuwa umekabana sana....Usikabe mpaka penati bana....kha!Hata niwe mtunza kumbukumbu tuu,
Kakijana kapo, kanakuja kwa kusua sua.
ππππchiccoPole Baba chicco