myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😂😂😂😂😂 ....Uume kushindwa kusimama asubuhi pale mwanaume unapoamka kwa kipindi cha muda fulani, Ni mojawapo ya kiashiria kuwa una tatizo la kiafya linakusumbua.
Huh?Kwa mujibu ya wataalam wa lugha, Neno "Huh?" Lina maana sawa haijalishi limetamkwa kwenye lugha gani yoyote ile, iwe Kiingereza, Kiswahili, Kichina au etc
France huku nimefurahi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ....
Numbisa bwana umenchekesha Canada huku!!!
Jioni yetu iwe ya amani na upendo...
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji120]
Wa dukani, sokoni na saluni siku njema....
Poleni wakulima wote...
Wasafiri tunawaombea safari njema
14:57