Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FINDER ni kifaa Kinacho weza Kunasa Mapigo ya moyo wa mwanadamu akiwa Futi 30 kwenda chini na uwezo wa kunasa mawimbi ya chini sana Kama mtu akiwa Anapumua chini ya jengo lililo anguka,Pia kilitumika kwenye tetemeko la ardhi nchini Nepal Kuokoa Majeruhi Walionasa Chini Ya Ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…