Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😄😄😄ila wenzetu wanajiamini, kwahyo akafungua kesi kuwa wanamharibia Diet plan yake...!
Yaani haya makampuni yanatuweka majaribuni sana, wakiona wateja wamekaribia kuachana nao ,wanakuja na ofa Kabambe..!!
 
Fidel Castro alitembea na wanawake tofauti 35,000 katika maisha yake.
Hii ni kwa mujibu wa baadhi ya wasaidizi wake wa karibu kipindi cha uhai wake.

Chanzo: MelMagazine, TheSun, TheIndependent, GQMagazine, Mirror, TimesOfIndia, TheTelegraph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…