Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawasawaTofauti ya Computer na Simu Ni kwamba
Computer huwa inapokea internet kwa njia mbalimbali (Ethernet, Modem, WiFi n.k) haijalishi ni kubwa kiasi gani.
Simu ukiiweka pembeni WiFi Simu hujitegemea kutokana na Chip yake ndio maana now tunasikia kwamba simu zina 5G.
117 mkubwa....JE WAJUA
EMMA MARTINA LUIGIA alizaliwa 29/11/1899 na alikufa 15/4/2017 alikufa akiwa na miaka 177 na siku 137 inasemekana huyu ndiye mtu wa mwisho kufa kwa watu waliozaliwa miaka ya 1800's
Alizaliwa mwaka ambao klabu ya AC milan inaanzishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kwa raju kuna mapunga hatari. Labda niende Kwa mremi au toroka uje kwa mbawalakwa raju unakwenda kutafuta mabaradhuli?
mombasa unakwenda kulewa BOT?
[emoji23][emoji23][emoji23]unazingua jamaaMaana Dinya ni mzizi wa neno, kuna kudinyana, kudinya [emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo ni online shopping jamaa
Asanteni Nuzulati Baba Chicco Drizzle kwa kunipa "LIKE" !Wengi tu...
Toa likes nawe upewe...