Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
AiseeWanawake Wafundisheni waume zenu jinsi ya kuwafikisha kileleni
AiseeKua ufaidi broView attachment 1641702
Kweli kabisa1.Unatakiwa kujua mbinu kadhaa fupi za kuokoa maisha yako au mwingine mfano, kuogelea kumpa mtu pumzi aliyepata ajali nk. (kujua kutoa Huduma ya kwanza)
Na kujua kutumua viungo vyako vizuri😁😁Unatakiwa ujue kutumia sindano ya kushonea, jembe, fyekeo, nyundo, shoka, na msumeno
wewe mzee acha malalamiko.Ni wewe mkorea au mwingine?
Kama ni wewe ninayekujua punguza kubadirika kama kinyonga
Shukrani bossPoleni mnaoendelea na kazi
Mhh!!!!Baada ya Kupigwa Katika Vita Dhidi ya Uingereza Waziri Mkuu wa Uholanzi Johan de Witt Akataka Kuikabidhi Nchi yake kwa Waingereza Chini ya Mfalme William III, Waingereza Wakahisi Johan Alikuwa Anamtega Mfalme Wao ili Akija Amuuwe, Wakawala Nyama Johan na Kaka Yake
I see [emoji3][emoji3][emoji3]Mwaka 1 Kabla ya Kifo Mtawala wa Ugiriki Alexander the Great Alianzisha Mashindano ya Olimpic Huko Iran ili Watu wa Huko Waige Tamaduni za Watu wa Ugiriki,Iliposhindikana Akaanzisha Mashindano ya Unywaji wa Divai.Washiriki Wote 42 Walikufa,Mshindi Alikunywa Lita 13