Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Huduma ya kwanza1.Unatakiwa kujua mbinu kadhaa fupi za kuokoa maisha yako au mwingine mfano, kuogelea kumpa mtu pumzi aliyepata ajali nk. (kujua kutoa Huduma ya kwanza)
Huduma ya kwanza1.Unatakiwa kujua mbinu kadhaa fupi za kuokoa maisha yako au mwingine mfano, kuogelea kumpa mtu pumzi aliyepata ajali nk. (kujua kutoa Huduma ya kwanza)
Plan BUnatakiwa kujua njia mbadala ya kuwasha moto hata bila ya kutumia kiberiti, gesi wala umeme hasa vinapokuwa havipo. Mfano, porini
Pesa ndiyo kila kitu bro.I see!! Nishakuwa ila sema nitafute pesa nami nifaidi pisi kali
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hapa hata kipofu anaona uzuri kabisa3. Unatakiwa kujua namna ya kutumia mashine ya kutolea fedha ATM
Mi nawashangaa sana, starehe yako lazima uichangamkie.Wanajidai mganga atagunuda ugonjwa by default bila ya maelezo ya mgonjwa.
Extra skills4. Unatakiwa Kujua Kuendesha angalau chombo kimoja cha usafiri na kuwa na uwezo wa kuziba pancha au kubadili gurudumu (baiskeli, pikipiki, gari nk)
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bilingual5. Unatakiwa Kujua Kuongea vizuri Lugha zaidi ya Mbili tofauti
Art skills6.Unatakiwa ujue kuchora
Digital literacy skillsUnatakiwa ujue kutumia, simu, kompyuta, ramani na internet