Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
IMG_20201201_172603_673.jpeg
 
Bro uswahilini nilikokulia michezo hiyo ilikuwa na memba wengi sana.
Watu walikuwa wanatembea usiku kutafuta chimbo la.kupiga chabo.
Ilikuwa starehe iliyowavutia wengi, mpaka wanawake walijumuika[emoji23][emoji23]


Wapi mzee Mwakaleli
Duh!! [emoji1][emoji1][emoji2] sikuwahi kuwaza hivi. Ila nimewahi fanya once na ilikuwa ni kwenye ghetto tumepanga halafu milango ya vyumbani bado. Jamaa wanagegedana ikabidi ninyate kuchungulia. Ila sio kama hiyo ya kitaani kwenu, yaani mob kabisa.
 
Back
Top Bottom