Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh [emoji3][emoji3][emoji3] jamaa jinsi alivyojipindi utafikiri anataka kuokoa maisha ya mtu.
Bro uswahilini nilikokulia michezo hiyo ilikuwa na memba wengi sana.
Watu walikuwa wanatembea usiku kutafuta chimbo la.kupiga chabo.
Ilikuwa starehe iliyowavutia wengi, mpaka wanawake walijumuika[emoji23][emoji23]


Wapi mzee Mwakaleli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…