Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😀😀😀 woii navunja diet plan yangu zis Decmber kwakweliHebu njoo tupeane locations bhana december hii😉
Ukute ndio Maana wazungu Waka m ripT' Challa (Black Panther) katika ulimwengu wa Comics (Superheroes) ndie mwenye utajiri mkubwa zaidi kuzidi wote. Ana utajiri wa zaidi ya Tzs Quadrillion 211 (Dollar Trillion $90.7), Utajiri wake kwa kiasi kikubwa unatokana na kumiliki madini adimu na ghali zaidi ya Vibranium.
😀😀Aiemu faini anko wangu mcheshi, Naimani Wekeend iko salama, Msalimu sana Shangazii..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa yuu Anko binti mvumilivu wagu [emoji137][emoji137]