myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mlio saluni,sokoni na dukani poleni...
AminMungu awaponye wagonjwa wote..
hiyo mbegu ya mapapai unavuna baada ya wiki ngapi?[emoji120][emoji120]View attachment 1644010View attachment 1644011
AminMungu atupe mkate wetu wa leo na siku zijazo[emoji120][emoji120]
AminMungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji120]
Naendelea kumshukuru kila aliyenipa LIKE hapa kwa mfano Tom McCarthy ; Mad Max ; ho chi minh na Kinyonyoke !Shukrani The Happiness kwa LIKE !
Kuna la kujifunza au kukumbushana kwa Picha hii.
Amen !Kuelekea mwisho wa mwaka, tunaomba amani na utulivu🙏🙏