Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ili kuongeza mauzo, baadhi ya maduka ya nguo hutumia kioo mbonyeo (curved). Kioo hiki kitakufanya uonekane mwembamba huku nguo ikionesha kuku-fit ipasavyo.

Kama umewahi kununua nguo dukani ikakutosha na kukukaa vizuri ila kufika nyumbani tu mambo tofauti basi ndio hii.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tusiwasahau waliotuinua mkono kufika hapa tulipo. Na hao ndio matajiri namba moja kuzidi wote duniani. Nawazungumzia wazazi wetu.
Siyo wazazi tu. Na watu baki pia.

Mimi nililipiwa karo kidato cha kwanza mpaka cha nne na mtu baki tu. Alichotaka nifanye ni kuwa namtumia matokeo yangu ya kila muhula na makubaliano yetu yalikuwa kwamba lazima niwe kwenye top ten. Na kweli sikumwangusha. Ameanza kuzeeka sasa na mwaka jana tulifanya sherehe nyumbani kwake tukacheka na kufurahi. Nami nimejivika jukumu sasa la kusomesha watoto wake watatu kwa vile yeye kiuchumi hajiwezi tena - na masharti ni yale yale. Watoto wasiwe nje ya top 10. Maisha haya. Ni mtihani mzito sana tena kuzidi ule wa Cambridge lakini matendo mema tunayowafanyia wenzetu - hata kama hawatakuwa na uwezo wa kutulipa - ndiyo kipimo halisi kabisa cha ubinadamu na utu wetu. Mungu na Akatusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Simba:Hupigana kama hakubaliwi mawazo yake na wanakikundi.
SYB [emoji123][emoji123][emoji123][emoji16][emoji16][emoji16]
angry_lion_by_tehchan_dc0fs8b-fullview.jpg
 
Nyati:Kujihami tu kwa sababu ya woga, hakosolewi, ukimgusa tu anaazisha vita vya maneno au kupigana

Nyoka:Anajificha huku akiuma bila kusema. Mchonganishi

Nyumbu:Woga na kutotumia akili kabisa.

Paka:Yeye anataka ahurumiwe tu na wenzake, hana mchango wowote kwenye kikundi.
Nyumbu [emoji16][emoji16][emoji16]
maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom