Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika utafiti nilioufanya, dharau kubwa wanayopata wanawake ni kama mwanamke hataendesha tendo la ndoa YEYE. Mwanaume humheshimu SANA mwanamke mwanamke anayejipenda, anayejifanyia mambo yake mwenyewe Naam anayejua kwamba nafasi yake kwenye Tendo la Ndoa ni ya kipekee.
 
USINGIZI: Kupata usingizi wa kutosha sio anasa ni jambo ambalo watu wote wanahitaji ili kuwa na afya njema kwani kutopata usingizi wa kutosha kunahusishwa na magonjwa ya moyo, kisukari, unene kupita kiasi, na unyogovu na kunaweza kusababisha ajali za barabarani na makosa kazini.
 
Kung'ata kucha: Kwanza kabisa usiseme wanakula kucha maana hawazimezi bali sema wanatumia meno kukata kucha. Hii ni tabia ambayo ni kawaida kwa watu wengi ila kwa baadhi ya watu imekuwa kama kilevi. Mara nyingi watu wakiwa wanawaza jambo fulani.
 
Siyo wazazi tu. Na watu baki pia.

Mimi nililipiwa karo kidato cha kwanza mpaka cha nne na mtu baki tu. Alichotaka nifanye ni kuwa namtumia matokeo yangu ya kila muhula na makubaliano yetu yalikuwa kwamba lazima niwe kwenye top ten. Na kweli sikumwangusha. Ameanza kuzeeka sasa na mwaka jana tulifanya sherehe nyumbani kwake tukacheka na kufurahi. Nami nimejivika jukumu sasa la kusomesha watoto wake watatu kwa vile yeye kiuchumi hajiwezi tena - na masharti ni yale yale. Watoto wasiwe nje ya top 10. Maisha haya. Ni mtihani mzito sana tena kuzidi ule wa Cambridge lakini matendo mema tunayowafanyia wenzetu - hata kama hawatakuwa na uwezo wa kutulipa - ndiyo kipimo halisi kabisa cha ubinadamu na utu wetu. Mungu na Akatusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Umenitamanisha. Mungu nisaidie nifikie hata asilimia moja ya hilo [emoji120][emoji120]

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom