myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🤣 🤣 🤣Mwanaume jitahidi sana wewe ndio uendeshe tendo la ndoa kwa mkeo/mpenzi wako tofauti na hapo you will always feel insecure.
🤣 🤣 🤣Mwanaume jitahidi sana wewe ndio uendeshe tendo la ndoa kwa mkeo/mpenzi wako tofauti na hapo you will always feel insecure.
Ebwana......ubongo wetu ni kibokoA human brain has a capacity to store 5 times as much information as Wikipedia.
Tag your fellow Wikipedia😂😂😂😂😂
Katika utafiti nilioufanya, dharau kubwa wanayopata wanawake ni kama mwanamke hataendesha tendo la ndoa YEYE. Mwanaume humheshimu SANA mwanamke mwanamke anayejipenda, anayejifanyia mambo yake mwenyewe Naam anayejua kwamba nafasi yake kwenye Tendo la Ndoa ni ya kipekee.
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume jitahidi sana wewe ndio uendeshe tendo la ndoa kwa mkeo/mpenzi wako tofauti na hapo you will always feel insecure.
Tunamalizia msimu huku NachingweaPoleni wakulima wote....
Jamaa anakula vinono hatariDuh!!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Tafiti za Esta jamani [emoji16][emoji16][emoji16]Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Mwili umechoka ila najikuta nacheka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafiti za Esta jamani [emoji16][emoji16][emoji16]
Anko una nafasi ya pekee Peponi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah AmenAnko una nafasi ya pekee Peponi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mjukuubabu andjul huenda huyu jamaa ndiye yule yesu aliyetabiriwa na wasukuma.
nikutakie jioni njema iliojaa baraka.Msukuma kabarikiwa na Mungu, hana dharau kwa nafasi yake. Ingelikuwa ndio kama akina siye wengine hapa pasingekalika.
Tunastahili kujifunza kutoka kwake.