Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mnapoamua kuunda kundi, hakikisha kwanza wote muwe na mlengo mmoja na nia moja ya kikundi hicho. Ikitokea unajivuta kufanya kazi za kikundi chenu ujue tu sio sehemu yako sahihi, badili mwenendo na mtazamo wako juu ya ndoto zako.