Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanaume jitahidi sana wewe ndio uendeshe tendo la ndoa kwa mkeo/mpenzi wako tofauti na hapo you will always feel insecure.
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
babu andjul huenda huyu jamaa ndiye yule yesu aliyetabiriwa na wasukuma.
Mjukuu
Ukisha tambua kuwa Duniani ni njia ya kupita na tuendako hatuendi na chochote zaidi ya mizigo mizito Nafsini, basi, tenda yaliyo mema kwa wengine.

Nilikuwa na tabia ya kuishi kwa kujifungia, ni mara chache sana kujumuika kijamii.Mara nyingi kifua changu kilikuwa kinajaa manung'uniko kwa Mungu, yaani "Sina kitu na umri unaenda, itakuwaje uzee wangu?!!"....ulikuwa ujinga wangu wa kila nijifungiapo. Baada ya kuanza kuhudhuria mazishi (hasa ya Kiislam) na kutembelea baadhi ya marafiki na majirani japo sio wengi, nikajigundua kuwa mimi ni MCHOYO NA MBINAFSI...nisiye ridhika hata na hiki kidogo.

Msukuma kabarikiwa na Mungu, hana dharau kwa nafasi yake. Ingelikuwa ndio kama akina siye wengine hapa pasingekalika.
Tunastahili kujifunza kutoka kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…