uniq,mmetukuta hebu salimia kwanza wanajamvi ndipo muendelee kulembuliana sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Za leo poa tumbo limejaa siku nzima. Asante kwa jana
Hahahaha ww bado hujaoa???Ndio mkuu wenye ndoa zao wameenda kuzitumikia.
Mchina naona mapenzi moto moto usiachie hapo.Babe s zile zawadi tayari nishanunua!
Kesho asubuhi unapata kama kawaida yako nadhani utazifurahia teh teh teh.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Zawadi gani hizo.....!?????[emoji12] [emoji12]Babe s zile zawadi tayari nishanunua!
Kesho asubuhi unapata kama kawaida yako nadhani utazifurahia teh teh teh.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kula likes kwanza kwa ukaribishoKaribu tena
Asante nishakaribiapamoja mkuu karibu
Hahahhaha chunwa chunwaaa...Babe s zile zawadi tayari nishanunua!
Kesho asubuhi unapata kama kawaida yako nadhani utazifurahia teh teh teh.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Namuona dogo kaingia kwa fujo kweliUniq ndani ya nyumba...wapi ho chi minh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anasema kuna siku ulimfanya alale sa3 na aliondoka hapa bila kuaga...kweli adui muombee njaaMkuu naona saivi unafurahi tu mi kuachwa na totoz.