moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Usicheze na kifo mkuuAiseee si kwambio hizo
AminMungu awaponye wagonjwa wote... [emoji120] [emoji120]
AminMungu atupe afya na uzima... [emoji120] [emoji120]
Kwakweli mamba mkongwe hasa, mpaka meno yake yameanza kumtokaMwamba atakuwa mhenga sana huyu
Na maana yake ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na kuvuta vipande vidogo vidogo sana vya mchanga na uchafu mwingine unaotokana na mlipuko wa volkeno!Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconioses" ni neno refu zaidi katika lugha ya kiingereza.
Mzee wa Mwakaleli. Njoo! Esta is back...na hajatuangusha [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Tafiti: Harufu ya boga Inasaidia kuongeza mzunguko wa damu kwenye uume kwa 40% hivyo huongeza uwezo wa kufanya usimame vizuri zaidi.
Chanzo: Heathline
Jambo la kushangaza Mwanzilishi wa huu uzi hataki.hata kuuona.Huu Uzi. Wa kitambo !!! Mungu awabariki wanzilishi.