Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: 3% ya watoto ni matokeo ya wazazi kuchepuka, Watoto hao kwa kiasi kikubwa hulelewa na wanaume ambao sio baba zao kibiolojia bila kujua.
Na katika jamii zetu haya mambo ya kibayolojia wala hayakuwa ya muhimu sana kwa sababu mtoto alikuwa ni wa wote. Unakuta kwenye familia watoto wote wanafanana balaa halafu kuna mmoja au wawili unawaona kabisa hawa siyo wa hapa lakini hakuna anayejali. Leo hii kutokana na maisha kubadilika na gharama za kulea na kusomesha watoto kuongezeka tena katika ubinafsi mkubwa kila mtu anataka kujua kama huyo mtoto anayemhangaikia ni matokeo ya bao lake kweli ama la!

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriYaNdani
 
Huyo mtoto atakua very genius
 
Duh...ana ubongo wa small!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…