moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
VE hivi huwa unalala na kuamka saa ngapi? ππππππVE Mungu anakuona.
VE hivi huwa unalala na kuamka saa ngapi? ππ
Unajitahidi ππππππππ VE nikistuka usiku huchungulia huku LOL!
Unajitahidi ππ
Mimi ndio nishaamka silali tena saahiziSawa VE haya malizia usingizi wako ππ
Mimi ndio nishaamka silali tena saahizi
Hapana huwa siamki mida hii. Leo nasafiri ndio maana nimewahi kuamka ππNdiyo unaamka saa hizi siku zote? It is too early VE.
Asante na salamu zitafika ππSafari njema huko uendako wasalimie sana waambie yule VE AKA BAK wa JF anawasalimia sana. ππ