TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,442
- 8,695
Noted!Mwanaume anaweza kupunguza uwezekano wa kupata Tezi Dume kwa kufanya mapenzi japo mara nne kwa wiki.
Mpaka kieleweke. Kama ni wimbo ndo tumefika kwenye korasi sasa na uzee mwisho Chalinze. Ni mwendo tu wa kutoa na kuweka waah mpaka fenesi linachoka!Yaani ni mwendo wa kufakamia mi Kvant hadi moyo unatanuka.Haya mambo yatatutoa roho kwakweli... Pumzika mzee Ng'wandu Pius[emoji120]Nimeiona usiku nikamuonyesha shangazi yake huo utafiti, kacheka sana [emoji1][emoji1][emoji1]