Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,681
- 12,444
Acha kutufokea, rafiki lazima apunguziwe bei.Unaogopa kumuuzia bidhaa/huduma rafiki yako kwa bei halali eti kisa ataona bei kubwa hivyo unampunguzia bei.
Sasa huo urafiki wenu una maana gani hasa?
Na wewe kama rafiki acha kutegemea special treatment kwenye biashara za watu hata kama ni rafiki zako.
Tununu anko gwanguUtwa masiku Anko?