ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
hiyo siku ikifika utatamani ujifukie chini kama yale madini unayotuwekea humu ndani.Hahahahahahha, duu.
Sikulijua hilo.
Mi nipo tu hapa, nasubiri Ubingwa wa Yanga nisikie ngebe zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
AiseeMaiti ya mwanaume aliyekufa kwa kunyongwa huwa ina uume uliosimama. Hali hiyo inaitwa "Rigor Erectus au Death Erection.
Safiii...
Na kwako piaNawatakieni Sikukuu njema!