Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisa unaitikia shikamoo yangu jamani!!
Wazima kabisa, nipo kwa Kina moudgulf kuna joto kinyamaaa.

Na mwaka ukawe wenye baraka kwako na kwa wapendwa wako
Hahah usijari ukiitaka nitakurudishia Depal,

Kama nakuona vile,ulivyotupia vitu vyepesi, huku nilipo kuna baridi

Asante kushukuru Depal, salamu zimefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…