Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TOFAUTI KATI YA LOTION NA CREAM NA MATUMIZI YAKE.
Uchaguzi kati ya cream au lotion, inategemeana na unataka kutibu nini na aina yako ya ngozi, uchaguzi sahihi wa hivi vitu viwili utasaidia kuondoa tatizo lako la ngonzi ulilonalo
 
Jeshi la polisi mkoani Kagera, linamshikilia Amos Rudovick (39) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wake Dastan Amos (13), kwa kumchapa na fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na baada ya uchunguzi ilibainika kuwa alimvunja shingo na uti wa mgongo
 

Mkuu za hapo ulipo?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Januari ni mwezi wa kuweka heshima. Bila shaka sasa hivi unapambana kulipa ada watoto warudi shule, kufungua tena biashara au kurudi kazini baada ya mapumziko ya sikukuu. Chochote tunachopambania tusisahau kwamba siri ya ushindi ipo mikononi mwako.
 
Wale wanaotunza vitu productive kwenye ubongo wanachokitoa kinakuwa ni productive, unakuta ni wabunifu wanafanya matokeo chanya kwenye familia zao, kwa mantiki hiyo inaanzia kwenye milango yako ya fahamu kipi unaruhusu kiingie"- Paul Mashauri, Mhamasishaji
 
Watu wengi wana vitambi kwenye akili zao sababu wanaruhusu milango ya fahamu kuingiza kila kitu kwenye ubongo wao, wanakuwa na uchafu mwingi kwenye ubongo, ndiyo maana unakuta watu wanawaza vitu negative sababu ndivyo walivyoviingiza"- Paul Mashauri, Mhamasishaji
 
MISEMO ILIYOBAMBA 2020

Pesa kidogo tu.
Usemi huu ulitamba zaidi kati ya mwezi wa 10 mpaka 11 mwishoni ukiwa na lengo ya kumkosoa mtu ambaye anafanya jambo fulani tofauti na alivyozoeleka kufanya huku ikiwa na lengo la utani na kufurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…