Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mnatesa kwa zamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunakunyoosha sasa
Amen.lala salama mkuuNiwatakie usiku mwema
HahahahNsamaka ni shemeji yangu tu
Hii kali ya mwaka. Si Baby S mwenyewe ndo alete hii? Kulikuwa na mashahidi? Hata ukisema hivi kama Unique bado anapendwa itasaidia nini?Nawatangazia kuwa Ndugu yetu Uniq kwa hiari yake pasipokurubuniwa, kutishwa, kulazimishwa kuanzia sasa kaamua kuacha kumsumbua bibi wa wenyewe babe s,
Anafuta semi zote na kuomba msamaha kwa yeyote aliyemkwaza wakati wa kutaka kulazimisha uhusiano ambao haukuwepo wala hajawahi kumuona huyo babe s,
Alikuwa na malengo ovu kwa kutaka kumharibia babe s kwa Ho chi mihn wake ampendaye.
Leo tarehe July 8 2017.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
KkHahahah
Tuondoke woteNawaacheni kidogo....
Babe sNimekuwa na wakati mzuri...
Hahhaahahcarba siku ile sikuipenda kabisa.
Naam mpenziJamani wapenzi....
Mtoto nitapata tu.carba siku ile sikuipenda kabisa.
We alikufurusha kwa Nsamaka, ushasahau? Kichwa hasaidiki![emoji115] kichwa katingwa sana,kuna haja tukakaa kamati tumsaidie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu karibu naona Kichwa kichafu na Ho chi Minh wanitafuta sana