Mshambuliaji wa Uingereza wa Brighton Glenn Murray, 37, ambaye amekuwa kwa mkopo Watford, anatarajiwa kupata uhamisho wa kudumu Nottingham Forest. (Argus)
Winga raia wa Uholanzi wa Manchester City Jayden Braaf, 18, yuko tayari kujiunga na Udinese ya Serie A kwa mkopo katika kipindi cha msimu kilichosalia. (Mail)