Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mambo mawili yanayonivutia sana katika Uislamu:

1. Kuoa wake zaidi ya mmoja [emoji818][emoji818][emoji818]

2. Kuzikwa haraka ukiRIP [emoji818][emoji818][emoji818]
  1. hiyo namba 2 wenyewe ni wapemba wanaoishi kisiwa cha pemba...kama utakufa saa tano asubuhi basi utazikwa saa 7 mchana... kama utakufa saa 12 jioni utazikwa saa 2 usiku...... wapemba wanaoishi pemba hawana mbwembwe za kulaza maiti.
 
CV NA IMANI YA KISIASA YA NDUGU JUMA DUNI
JINA: Juma Duni Haji.
KUZALIWA: NOVEMBA 26, 1950 Zanzibar
NDOA: Ameoa.
WADHIFA WA SASA: Makamo Mwenyekiti ACT – Wazalendo, Zanzibar.
ELIMU YAKE:
− University of Manchester (UK) - Masters in Human Resource Management, 1994-1995
− University of Manchester (UK) - Post Graduate Diploma in Business, 1993-1994
− Mipango ya Kiuchumi (JAPAN), 1982
− Mipango ya Elimu (Nigeria), 1980
− University of Reading (UK) -Post Graduate Diploma in Education, 1978-1979
− University of Dar es Salaam - Bsc. Education, 1972-1975
− Sekondari ya Juu: Lumumba College Zanzibar, 1970-1971
− Sekondari: Gamal Abdel Nassar Beit el Ras, 1966-1969
− Skuli ya Msingi: Mkwajuni Primary School, 1959 -1965
 
UZOEFU WA KAZI:
− Katibu Mtendaji Tume ya Mipango, 1981-1982
− Katibu Mkuu Viwanda, 1980 -1981
− Katibu Mkuu Mipango, 1980
− Mjumbe wa Bodi Mbali Mbali Shirika la SUKITA, 1980
− Afisa Mipango Elimu, 1976-1979
− Mwalimu wa Sekondari, 1975-1979
UZOEFU WA SIASA:
  • Makamo Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Zanzibar, 2020 hadi sasa
  • Naibu Kiongozi Mkuu wa Chama (NKC), ACT – Wazalendo, 2019 - 2020
  • Waziri wa Afya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, 2010 - 2015
  • Mjumbe Baraza la Wawakilishi Zanzibar, 2010-2015
  • Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi Taifa CUF, 1999-2014
  • Naibu Katibu Mkuu CUF (Zanzibar), 1999-2010
  • Mjumbe Baraza la Wawakilishi wa Kuteuliwa, 2009 2010
  • Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha CUF, 1997-2010
  • Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2015
  • Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2015
  • Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2005
  • Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha CUF,1999- 2003
  • Mjumbe Baraza la Wawakilishi Jimbo la Mkunazini, 1997-2000
  • Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1995
  • Mwenyekiti Umoja wa Vijana ASP Sekondari ya Lumumba, 1970-71
  • Mwenyekiti Umoja wa Vijana ASP Sekondari Beit el-Ras, 1967
 
TAARIFA MAHSUSI:
− Mfungwa wa Kisiasa kwa kesi maarufu ya Uhaini kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, 1997-2000
− Mfungwa wa Kisiasa kwa kesi ya kudaiwa kuuwa Askari wa Jeshi la Polisi aliyeuwawa Pemba wakati huo yeye mwenyewe akiwa Unguja, 2001-2002
SHUGHULI AZIPENDAZO NJE YA KAZI:
- Michezo, kusoma vitabu, kusoma na kufuatilia masuala ya kisiasa duniani
 
KILICHOMSUKUMA KUINGIA KATIKA SIASA:
1. Baada ya kumaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam, aliajiriwa kuwa mwalimu wa sekondari skuli ya Beit Al Ras, wakati huo ikiitwa Gamal Abdil Nassir, Rais wa zamani wa Misri, na baada ya mwaka akahamishiwa Skuli ya Sekondari ya Lumumba na kusomesha darasa la kidato cha tano na sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…