Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hata baba na mama walikuwa hawana nia ya kuoana licha ya kwamba walikuwa majirani
Kwakweli tukio hilo nimeliona,
ingawa nilikuwa mdogo lakini lingali linapita akilini mwangu.
Nilimshangaa sana Maalim kwa kosa lile la kiufundi ambalo amefanya wakati ule.
Nadhani mpaka anafariki lazima naye alikuwa anajutia
 
Lakini hii ya kuvaa barakoa mmoja mmoja nayo ni hopulesi tu kwa sababu tunaambiwa barakoa inamsaidia hasa jirani yako kwa wewe kutotapanya virusi kwa wingi na umbali mrefu ukipumua au kukohoa. Kama jirani yako hajavaa na ana Korona; na mko karibu karibu wewe uliyevaa barakoa utaambukizwa tu kwa sababu virusi vya Korona ni vidogo sana na vinapenya katika mask za kawaida. Mnapunguza maambukizi kama wote mmevaa kwa sababu kila mmoja anapunguza velocity, wingi na hata umbali wa virusi vinavyoweza kuufikia. Ndiyo maana ni muhimu sana kuwa na mwongozo wa kitaifa. Wanasema Trump angeweka tu mandate ya kila Mmarekani kuvaa barakoa angeweza kupunguza zaidi ya nusu ya watu hawa laki 5 ambao tayari wameshafariki. Katika hali hii katika picha Mama Mghirwa atasalimika tu kama amevaa mask zenye upenyo mdogo kuliko wa kirusi chenyewe mf. zile za kitabibu (N95) na zingine za kiwango cha juu. This is hopeless [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…