Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Umrudi.........................................ubarikiwe sana, karibu tenaKuna mtu aliisimanga K yangu nikamjibu kama yake bila tafsida akamaind na kurepoti
karibu karibu karibu karibu....mpendwa karibu...Nipoo
AmenUmrudi.........................................ubarikiwe sana, karibu tena
karibu karibu karibu karibu....mpendwa karibu...
Kuna watu hapa JF wanadai alifariki jana yake kwa mujibu wa mtoa habari wanayemuamini.Siku ambayo Maalim alifariki mimi nilimuona mapema asubuhi, na nilimkuta hali yake ikiwa nzuri, na madaktari pia walitutia moyo."
@zittokabwe
Clouds 360
Namuunga mkono Mwinyi kama anathubutu kumaliza ubaguzi Serikalini"Hapo mwanzo, kabla ya maridhiano watu wenye nasaba za upinzani walikuwa hawapewi Zan IDs. Kulikuwa na ubaguzi. Lakini sasa, serikali ya Mwinyi imetoa onyo kwa Sheha yeyote atakayemnyima mtu barua kwa ajili ya kupata si tu kitambulisho bali huduma nyingine. Hii ni ishara nzuri"KC
Binafsi niliwahi kuona maoni ya watu humu jf wakitabiri kusambaratika kwa ACT kwa kukosekana Maalim"Kuna watu ambao walidhani kwamba sasa kwa kuwa Maalim hayupo, chama kinasambaratika. Lakini Maalim aliacha misingi imara ambayo imetuweka pamoja"
@zittokabwe
Clouds 360
PpleAm back[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko bana.View attachment 1714594
K ?Kuna mtu aliisimanga K yangu nikamjibu kama yake bila tafsida akamaind na kurepoti
safari ndio kwanza inaanza, ngoja tusubiri hali itakavyokuwa.Binafsi niliwahi kuona maoni ya watu humu jf wakitabiri kusambaratika kwa ACT kwa kukosekana Maalim
hii taarifa niliipata kwa mzee wangu mapema sana