Kati ya miaka ya 1940 mpaka 1970, vyuo vikuu kadhaa nchini Marekani vilipiga picha za uchi kwa kila mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, maelfu ya picha zilipigwa za wanafunzi, George Bush, Diane Sawyer, Meryl Streep, na Hillary Clinton ni miongoni mwa wanafunzi waliopigwa picha hizo.