Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee#Miaka20yaMaulidKitenge
Hii ilikuwa ndio naanza kazi ya Uandishi wa habari wakati huu ilikuwa mwaka 1998 gazeti la Majira. Tulianza kuandika kwa Computer ndogo hizi baada ya kutoka kwenye type writer aisee! Safari inaendelea hadi leo.
View attachment 1715183
Duh!'Kicheche' ni mnyama ambaye hufanya mapenzi angalau Mara β66β kwa Siku.
katoka mbali sana.Aisee
Sawa.."Haikuwa rahisi kumpata mtu wa kuvaa viatu vya Maalim Seif kwa sababu viatu vya Maalim Seif ni vikubwa sana. Mpaka kufikia kupata jina la Othman Masoud, tulipitia mchakato wa kina sana."
@AdoShaibu
PowerBreakfast EARadio.
ππkatoka mbali sana.
jamaa ni legend asiyependa uzee