Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1614512742897.jpg
 
Mnamo mwaka 2001 ,katika mechi ya ligi ya mabingwa ulaya Manchester United dhidi ya Buyern Munich kuna shabiki aliingia uwanjani kwa lengo la kupiga picha huku amevalia jezi sawa na timu ya Manchester United, hakuna aliyegundua katika timu nzima mpaka mpiga picha.
 
kuna maneno zaidi ya 6,000 ya kigiriki katika lugha ya kiingereza.

academy, air, airplane, anatomy, angel, architect, aroma.astronaut, athlete, atmosphere, atom, base, bible, biology,box, centre, chair, chaos, character, chorus, church, cinema,climate, clinic, comedy, cosmos, cube, cycle, decade,democracy, devil, diagram, dialogue, diet, diplomat, disc,drama, dynasty, echo, ecology, economy, ecstasy, electric,electronic, energy, enthusiasm,episode,erotic,ethics,euro,Europe,fantasy,galaxy.genetic,geography.geometry.giant,guitar, harmony, helicopter, hero, history, horizon,hormone,horoscope, hour, hymn, idea, idol, irony, jealous, kilogram,kilometer, kinetic, lion, logic, lyrics, machine, magic, magnet,mania, marathon, mathematics, melody, metaphor, meter,method, microphone, microscope, museum, music, mystery,myth, neon, Nike, ocean, Olympic, orchestra, organism,orgasm, oxygen, panic, panther,pause, pepper, period, phase, philosophy, photography,physic, planet, poem, pole, police, program, psychology,rhapsody, rhythm, sarcasm, scene, school, sphere, stereo,strategy,syllable, symbol, symmetry, sympathy, symphonysystem, tactic, talent, technology, telephone, telescope,theatre, theme, theory, therapy, thermometer, tone, tragedy.triumph, type, utopia, zone, zoology,paper, paradise, patriot,
 
Kutana na Bruce Campbell kutoka Oregon, ambaye alinunua ndege aina ya Boeing-727 yenye thamani ya Tsh million 231.9 na kuifanya kuwa makazi yake, ilikuwa mwaka 1999.
 
Katika karne ya 18 nchini Sweden kulipigwa marufuku mtu yeyote kunywa kahawa, mfalme Gustav III wa nchi hiyo alikuwa akiichukia kahawa kwa kuamini kuwa ina madhara makubwa kiafya kiasi kwamba ukikutwa unakunywa tuu unaenda jela.
Ili kuwadhihirishia wananchi wake kua kahawa haifai mfalme Gustav alifanya jaribio ambapo aliwatoa wafungwa wawili mapacha waliohukumiwa kifo, kisha mmoja akampa jukumu la kunywa kahawa kila siku akiamini kuwa kwakua kahawa ina madhara basi atadhoofu na kufa.
Mmoja alilazimika kunywa mpaka vikombe vitatu vya kahawa kwa siku, mwingine alipewa kiasi kama hicho cha chai kila siku.
Matarajio ya Gustav hayakwenda sawa kwani mnywaji wa kahawa aliendelea kuishi kwa afya njema kiasi kwamba Gustav mwenyewe ndo alianza kufa ila mtu huyo aliyemfanyia jaribio la kumnywesha kahawa akidhania atakufa akiwa bado hai.
 
Wanandoa huko Nellore India waliamua kumuuza binti yao wa umri wa miaka 12 kwa pesa ya India Rupee 10,000 kwa mwanaume mmoja wa miaka 46 ili wapate pesa ya matibabu ya binti yao mkubwa wa miaka 16 aliyekua na tatizo la kupumua.
Mwanaume huyo Chinna Subbiah alilipa pesa hizo ambazo ni sawa na pesa ya Tanzania 315,000 kisha akamuoa binti huyo wa miaka 12 jumatano iliyopita ya February 24, 2021 kabla ya baadae kuokolewa na idara ya ustawi wa wanawake.
Awali walitaka kumuuza kwa Rupee 25,000 karibia na pesa ya Tanzania 800,000 lakini mnunuzi akasema atanunua kwa pesa hiyo pungufu ambapo baada ya mauziano hayo jamaa akamsafirisha binti huyo nyumbani kwake huko Dampur.
Inaelezwa kuwa usiku wa Alhamisi (kesho yake) majirani walianza kusikia sauti za mtoto huyo akilia nyumbani kwa jamaa huyo, ndipo wakaenda kuripoti katika Mamlaka husika, jamaa anakabiriwa na kesi ya biashara ya binadamu.
 
Anarcha ni mwanamke mtumwa wa kiafrika aliyelazimishwa kufanyiwa upasuaji wa maumivu makali bila ganzi mwaka 1846 na mtaalamu wa upasuaji James Sims raia wa US kama sehemu ya majaribio ya kuifanyia utafiti tiba ya fistula.

Baada ya kujifungua mtoto wake na kufa mwaka 1845 Anarcha alipelekwa kwa Sims kwa sababu alikuwa akitokwa na mkojo mfululizo. Mkojo huo ulimsababisha kupata maumivu makali. Hii ilimfanya Anarcha kuwa hitaji kubwa la Sims kumfanyia upasuaji wa majaribio ili wapate tiba.

Kumbuka kuwa mtaalamu huyu alimfanya Ana kuwa mgonjwa wa majaribio katika upasuaji huo, alimfanyia upasuaji mara 30 ndipo akawa amefanikiwa kupata tiba ya tatizo hilo, mbaya zaidi iliaminika kuwa watu weusi hawakuwa wanapata maumivu, hivyo mara 30 zote ilikuwa bila ganzi.

Baada ya Anarcha kufariki mwaka 1910 sanamu yake ya heshima Anarcha ilijengwa mjini Alabama.
 
Back
Top Bottom