Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Disappointment to a noble soul is what cold water to burning metal.It strengthens,tempers and intensifies,but never destroy it.Msemo huu unatufunza kuwa,kukutana na nyakati ngumu hakutakiwi kukufanya ukate tamaa bali unatakiwa uwe ni mwenye nguvu ya kusonga mbele na iwe sababu ya kukupa molali ya kufikia lengo.
 
Da'Vinci Wangekupa life ban uliniboa sana kufuta ile chating. Uliomba niirudishe mara ukaifuta. Usije tena PM kwangu
Huyu dogo bado anaendelea na utopolo wa kuwa anafuta comments? Watu walimpopoa sana kwenye uzi huu japo mods walikuja kumwokoa kwa kuufunga. Kama bado anaendelea na utopolo huo basi kuna shida mahali...


Bai ze wei, wengine wanawezaje kuja huko PM kwako bila kula za uso? Dah [emoji16][emoji16]
 
Anashangaza mno japo hapo juu anasema amekoma kisa ban ya siku 30

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wanakuja hivyo hivyo
 
Aah! Belvita [emoji39][emoji39]

Nzuri kwa breakfast ila upatikanaji wake ndani ya mipaka ni mgumu
Nafurahi kukusikia bro. Natumaini kila kitu kiko salama. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sema nikutumie kaboksi kamoja. I am serious bro. Ni wiki moja tu unakapata.
 
I'm not a Dogo[emoji22]
Sikukusudia kukuvunjia heshima mkuu. Nina miaka 75. Wewe uko anda 25. Nakuzidi miaka 50+. Kwa hivyo wewe ni mdogo wangu. Ndicho nilichokusudia...

Wewe ni mmoja wa GTs hapa JF sema tu bado hujatulia na kuwa na uwezo wa kusimamia misimamo yako. Tuko pamoja.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lazima msisitizo eti! Rais haoni mapungufu ya Mawaziri wake hadi ashinikizwe na Kinana na Nape ndiyo awatimue 🀣🀣🀣🀣🀣 sasa kuna huyu wa kulambwa viatu na kusifiwa sifiwa kila kukicha. Ukifanya hivyo teuzi kama KAWA!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚BAK anakuandikia kwa herufi kubwa DHAIFU

Ipo siku atampost stoneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Impossible mission[emoji23][emoji23][emoji23] nijibu kuhusu chanjo. Huko mnachanjwa chanjo ipi?
Huku sasa kuna chanjo tatu.

1. Pfizer (ndiyo ilianza)

2. Moderna (ya pili)

3. Johnson & Johnson (imeidhinishwa wiki jana).

Astrazeneca inasemekana hawajaomba idhini ya chanjo yao. Lakini pia nadhani ni kwa kuwa chanjo hiyo efficacy yake siyo kubwa kuliko zingine. Na ndiyo imeonyeshwa kuwa haiwezi kupambana na variants hizi mpya za COVID 19. Ndiyo waliyoagiza Afrika Kusini wakaishia kula hasara.

Mimi nitachanjwa hii ya Johnson & Johnson. Ni sindano moja tu na haijatumia hii teknolojia mpya ya kuchakachua DNA ya kirusi iliyotumika kwa mara ya kwanza kutengenezea chanjo za Pfizer na Moderna.
 
Hio astra Imepelekwa rwanda nadhan wiki hii au ijayo watu wataanza kuchanjwa

Hawa Johnson ndio wale wa poda zetu maarufu huku africa?
 
Hio astra Imepelekwa rwanda nadhan wiki hii au ijayo watu wataanza kuchanjwa

Hawa Johnson ndio wale wa poda zetu maarufu huku africa?
Ndiyo hao hao. Mbali na vipodozi pia wana kitengo cha madawa.

Rwanda acha wachanjwe. Wanasema ingawa efficacy yake ni 75% na inashindwa kupambana na variants hizi mpya, bado inaufanya mwili uwe na kinga fulani na watu wanaoambukizwa wanaishia kupata homa ya kawaida tu isiyohitaji kulazwa hospitalini. Inapunguza uwezekano wa kuugua mpaka kufa kwa zaidi ya asilimia 94 japo watu bado wanaweza kuambukizwa. Ndiyo maana bado inatumika sehemu nyingi duniani.
 
Aaah ngoja tusubirie wakimaliza majaribio yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…