Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nyie pigeni nyungu tu. Mungu Atawasaidia. Na kwenu maandaeiti hii siyo ishu kivile. Shida ni kwetu wahenga hasa wa kiume...Aaah ngoja tusubirie wakimaliza majaribio yao
Kiongozi,Aah! Belvita [emoji39][emoji39]
Nzuri kwa breakfast ila upatikanaji wake ndani ya mipaka ni mgumu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamaniUsinitetee shemeji. Hata mimi naona kuna elements fulani za ulast born ninazo. Nikiibua pisi kali hata kabla sijaiambia cho chote utasikia tu inaniambia "We SYB lazima tu utakuwa last born wewe. Si kwa uromantiki huu". Sasa huwa sielewi kama hii ni sifa chanya ya kujivunia au ni dongo [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila ulast born jamani raha nyie acheni tu. Kufichiwa nyama na mapochopocho mengine. Kutopigwa na kufanyishwa mikazi migumu...Ooooh RIP my dia mama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Naku zoom tu we jamaa. Next week natia timu rasmi kule tukuyu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamani
Tuwaombee Nafsi zao zipumzike mahali pema Peponi [emoji120]
Jioni nyingineAsubuhi njema
Salaam za usikuSalam kwenu
[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima. [emoji120][emoji120]
Walyekum salaam [emoji120]Asalam Aleykum!!!!!!