Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7. PIA NJEGERE HUWA NA MADINI MENGI. Madini mwilini hufanya kazi nyingi mwilini kama kuongeza kinga, kufanya mifupa na ngozi kuwa imara. Madini kama fosforas(phosphorus) 6%, chum(iron) 7% na manganizi(manganese)11%
 
Faida za kiafya za kula bamia

Bamia lina virutubisho kama vitamini C, vitamini K, vitamini A na vitamini B. pia bamia lina protini, fati na madini ya magnesium.
 
Faida za kiafya za kula maboga


boga lina virutubisho kama vitamini A, C, E na B. pia kuna madini ya chuma, potassium na manganessium. Pia boga lini protini na fati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…