myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hugo Chaves
Che Guevara
Lao moja hawa. Makomredi walioamini kabisa kabisa katika itikadi na falsafa zao za kiMarx. Japo juhudi zao pengine hazikufanikiwa lakini miamba hawa ni mifano bora kabisa ya watu ambao angalau waliweza kusimama imara na kupambana na mfumo wa kibeberu kwa vitendo - huku ama wakiuawa au kukoswa koswa kuuliwa na mabeberu hao kwa zaidi ya mara elfu. Elcommandantes....Fidel Castrol
IDD Amin Dada
Samuel Doe
Benito Mussolini
Lao moja hawa. Wakiwemo madikteta wa kutisha walioua mamilioni ya watu japo baadhi yao hawakuumaliza mwendo salama. Mmoja wao aliuliwa kama jambazi akakatwa uume na masikio yake kisha akafungwa kwenye difenda ya jeshi na kuanza kuburutwa kama mbwa mitaani huku umma ukishangilia. Madaraka na wajibu - dhana tata lakini zinazopaswa kukamilishana...Maoze Dong
Malcom x
Lao moja. Wote walitaka kuwakomboa watu wao. Naam! Gaidi wako anaweza kuwa shujaa wangu (ende vaisi vesa). Mmoja hapo alipachikwa ugaidi japo kwa watu wake alikuwa mpigania uhuru na kiongozi mtegemewa. Wote waliishia kuuawa - mmoja kwa kupigwa risasi kwa kutishia madaraka ya mwenzake na mwingine kwa kunyweshwa sumu....Haki na uhuru. Vigumu sana kuvipata kwa binadamu aliyejijengea jamii yenye matabaka yenye kunyonyana na kukengeushana!Yasser Arafat
Nikweli mpendwaLao moja hawa. Wakiwemo madikteta wa kutisha walioua mamilioni ya watu japo baadhi yao hawakuumaliza mwendo salama. Mmoja wao aliuliwa kama jambazi akakatwa uume na masikio yake kisha akafungwa kwenye difenda ya jeshi na kuanza kuburutwa kama mbwa mitaani huku umma ukishangilia. Madaraka na wajibu - dhana tata lakini zinazopaswa kukamilishana...
Ni nani kati hao wawili huyu Malcom X ninavyofahamu alikuwa mwanaharakati aliyepinga ubaguzi wa rangi.Lao moja. Wote walitaka kuwakomboa watu wao. Naam! Gaidi wako anaweza kuwa shujaa wangu (ende vaisi vesa). Mmoja hapo alipachikwa ugaidi japo owa watu wake alikuwa mpigania uhuru na kiongozi mtegemewa. Wote waliishia kuuawa - mmoja kwa kupigwa risasi kwa kutishia madaraka ya mwenzake na mwingine kwa kunyweshwa sumu....Haki na uhuru. Vigumu sana kuvipata kwa binadamu aliyejijengea jamii yenye matabaka yenye kunyonyana na kukengeushana!
Sijaelewa swali lako mpendwa. Nani kati ya hawa wawili aliyefanya nini?Ni nani kati hao wawili huyu Malcom X ninavyofahamu alikuwa mwanaharakati anayepinga ubaguzi wa rangi.
Asante sana Thalo!Pole sana Ninge
[emoji120][emoji120]Hongera wakulima wetu wote...
[emoji120][emoji120]Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]