Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemeji,haaaiii[emoji870][emoji870]
Hilo box haliwez pitia kwangu ndo liende kwa dav??[emoji125][emoji125]
Nimeona likes zako nikashtuka. Long time no see. Are you OK? Huko uliko changamoto za upumuaji zikoje? Mungu Akulinde sana shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Yes, hilo boksi na wewe unaweza kupata lako. Tena hizi ni sawa na energy drink (japo hazijashindiliwa caffeine). Ukila kimoja tu kinakupa sustained energy kwa masaa manne non stop. Zitakufaa sana kwenye shughuli zako. Nipe tu anuani yako ya posta na ndani ya wiki moja utazipata. Endelea kubarikiwa shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nipo ndugu zangu, mwezi uliopita tarehe 10,niliondoke na mzee wangu kwa tatzo la kansa ya utumbo, iliyomsumbua kwa muda mrefu..
Terrible news. Pole sana bro kwa kuondokewa na baba. Mitihani ya dunia. Mungu Ampe pumziko jema paradiso mpaka mtakapoonana tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
IMG-20210305-WA0005.jpg
 
Pole pole nyingi sana ninge. Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi. Amen
Pole sana kwa kuondokewa na Mpendwa wako!
Mungu akupitishe salama ktk kipindi kigumu hiki.
Pole sana Anko, pole kwa magumu yote. Mungu akupe moyo thabiti.
Apumzike mahali pema Peponi. Amin [emoji120]
Pole sana bro, Mwenyezi Mungu amjaalie makazi mema peponi mzee wetu, nanyi wafiwa Mwenyezi Mungu awajaalie Subira[emoji120][emoji120][emoji120]
Pole sana Mkuu, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Baba yetu mahali pema peponi [emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Pole Sana Ninge, Mungu amlaze Baba mahali pema peponi..Amen[emoji120]
Pole sana nige,Allah ampe kauli thabit na amrehem.[emoji120][emoji120]
Terrible news. Pole sana bro kwa kuondokewa na baba. Mitihani ya dunia. Mungu Ampe pumziko jema paradiso mpaka mtakapoonana tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asanteni sana ndugu zangu kwa kunipa faraja hasa hasa kipindi hiki, sina cha kuwalipa Mungu awabariki sana,
 
Back
Top Bottom