moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wacha bhana weee,[emoji23][emoji23]Aah! Belvita [emoji39][emoji39]
Nzuri kwa breakfast ila upatikanaji wake ndani ya mipaka ni mgumu
Nimekumiss auntie kivurugeVilast born vinadeka kweli utafikiri mimba zao zilitungiwa kwenye maini
Liver owner,upo??KD was here..... [emoji871]
Shemeji,haaaiii[emoji870][emoji870]Nafurahi kukusikia bro. Natumaini kila kitu kiko salama. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sema nikutumie kaboksi kamoja. I am serious bro. Ni wiki moja tu unakapata.
Pole sana ankaliZa kuambiwa changanya na za kwako... JK.
Kwa haya mapito hata kama itakuwa ya kuchanjwa kwa shoka nipo tayari. Cha moto nimekiona.
Ahsante Mungu
[emoji23][emoji23]umenikumbusha danieSistas
Pole sana nige,Allah ampe kauli thabit na amrehem.[emoji120][emoji120]Nipo ndugu zangu, mwezi uliopita tarehe 10,niliondoke na mzee wangu kwa tatzo la kansa ya utumbo, iliyomsumbua kwa muda mrefu..
Babe i miss u[emoji8][emoji8]Si ndio Apo[emoji23]View attachment 1717592
Miss u too, umeadimika kama biskut za breakfast ya abuiiiNimekumiss auntie kivuruge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini usije kuchekea kule
Waleta story za jf wanaringa sana sijui wanajikuta nani
Anafurahisha sana na vituko vyake[emoji23][emoji23]umenikumbusha danie