Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20210305_092608_681.jpg
 
Nimeona likes zako nikashtuka. Long time no see. Are you OK? Huko uliko changamoto za upumuaji zikoje? Mungu Akulinde sana shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Yes, hilo boksi na wewe unaweza kupata lako. Tena hizi ni sawa na energy drink (japo hazijashindiliwa caffeine). Ukila kimoja tu kinakupa sustained energy kwa masaa manne non stop. Zitakufaa sana kwenye shughuli zako. Nipe tu anuani yako ya posta na ndani ya wiki moja utazipata. Endelea kubarikiwa shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mimi namshukuru Mungu kwakweli bado ananipambania[emoji120][emoji120]
Changamoto bado ni changamoto,tupo tunajifusha,akheri wenzetu naona zoezi la chanjo linaendelea.

Atuma asap[emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom