Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Uzuri wa nyumba choo[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Duh..Mungu Ibariki Afrika
Wabariki viongozi wake
Hekima umoja na amani
Muuungu Ibariki
Afrika na watu wake.....
View attachment 1718024
Aisee..[emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1718143
🤣🤣🤣Sijambo jirani
Hongera kwa teuzi....
Mzima kabisa na vicorona vya hapa na pale[emoji23][emoji23]abui anazingua
Mzima lakini?
Asanteni sana ndugu zangu kwa kunipa faraja hasa hasa kipindi hiki, sina cha kuwalipa Mungu awabariki sana,
Karibu sana Numbiee.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]