BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Shukrani Carba, uko poa lakini wewe? Hawajambo uwapendao?Mungu akawe faraja yako kuu[emoji120][emoji120]
Unapendeka sana humu ndani nige
AmeenJioni iwe yenye amani na utulivu
Na mimi natoa pole yangu hapa.Nipo ndugu zangu, mwezi uliopita tarehe 10,niliondoke na mzee wangu kwa tatzo la kansa ya utumbo, iliyomsumbua kwa muda mrefu..