Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JUPITER
sayari hii ni ya tano kutoka katika mfumo wa sayari, yaani (SOLAR SYSTEM). sayari hii ya jupiter ikifika usiku joto hushuka na kuwa centrigrade -300,hii inamaanisha kwamba nyakati za usiku,kwenye sayari ya jupiter kuna kuwa na baridi kali sana!,ambayo hakuna kiumbe awezaye kustahimili baridi hiyo!.JUPITER ni sayari kubwa sana kuliko zote katika mlolongo wa sayari hizi tisa tulizofundishwa huko mashuleni.sayari hizo ni pamoja na;
(1)MERCURY
(sayari yenye joto kali kupitiliza zaidi sayari zote!,maana ndio sayari iliyo karibu sana na jua. (2)VENUS(sayari yenye joto la kali na mashimo shimo mengi yanayotakana kuangukiwa sana vimondo vikubwa!
(3)EARTH(DUNIA)
(4)MAR'S
(5)JUPITER
(6)SARTUN(maarufu kama sayari ya shetani)
(7)URANUS
(8)NEPTUN
(9)PLUTO(sayari yenye baridi kali sio mchana wala usiku, ni barafu na baridi kali sana kupita sayari zote!. hivi ndivyo tulivyokalilishwa huko mashuleni. tambua katika anga kuna maelfu na maelfu ya sayari! jiongeze penda kusoma vitabu!.
 
SAYARI YA DUNIA
-ina gesi zinazofanya viumbe hai waishi yaani OXYGEN na CARBONIOXIDE
hewa hizi ndizo uhai wa viumbe hai(living organism) waishio katika sayari hii! bila hewa ya oxygen hakuna dunia wala viumbe hai!.dunia ni moja ya sayari yenye uhai kati ya mamilioni ya sayari zilizopo katika anga! hewa ya CARBONIOXIDE hutumika sana usiku kwa viumbe hai kama binadamu! na hewa hii ya CARBONIOXIDE hutumika sana na mimea wakati wa mchana!.
 
Kabila Kurya linalopatikana Mkoani Mara nchini Tanzania wanao utamaduni wa mumtafutia mchumba na kumuozesha marehemu.
Mkurya ambaye hajaoa akifariki huwa anatafutiwa mchumba kisha mmoja kati ya walio hai ambaye hajaoa atatakiwa kwenda kuchumbia kwa niaba ya marehemu na kuoa kisha ataishi nae kama mkewe, sehemu zote zitakazohitaji jina la mume litatumika jina la marehemu, kwa mfano wakizaa watoto watapewa majina ya marehemu kama baba yao.
 
Muumini mmoja wa kanisa moja nchini Nigeria ameweka sadaka ya karatasi kwenye kapu la sadaka, karatasi hiyo ilikuwa imeandikwa maneno yaliyomlenga mchungaji yaliyosomeka "Wewe tayari unayo ndege na mimi ninayo Toyota siwezi kukupa sadaka yangu".
 
Wakili aitwaye Héctor Cipriano Paredes kutoka nchini Peru amezua gumzo mitandaoni hususani Twitter baada ya kusambaa video yake akiwa anafanya ngono na mwanamke wakati ambao kesi ikiendelea mahakamani kwa njia ya video, Paredes alikuwa ni wakili mtetezi wa genge la kihalifu linaloogopeka nchini humo ndipo wakili huyo aliendelea na kesi wakati akifanya ngono mbele ya majaji na mawakili na wengine walioshiriki katika kesi hiyo.
Jaji wa kesi hiyo aitwaye John Torres aliisimamisha kesi hiyo baada ya tukio hilo na kuagiza wakili Paredes achunguzwe na asimamishwe katika kesi hiyo na pia jaji John amesema kwamba Paredes ameikosea mahakama na mawakili wenzie na hata sheria kwa ujumla.
 
uwezo wa binadamu wa kawaida! kushindana na viumbe wa ajabu kutoka sayari za mbali(aliens) ni mdogo sana! kwasababu viumbe hawa wanauwezo wa kuwaangamiza binadamu,kwa sekunde chache sana! viumbe hawa wanatumia,teknolojia ya mionzi mikali na wanatumia mionzi hii kuweza kusafili kutoka sayari moja kwenda nyingine! tena kwa spidi isiyo ya kawaida kuweza kutokea duniani! wanauwezo wa kubadilika katika umbo tofauti tofauti!. hawa ndo aliens.
 
Sarwan Singh ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia kwa sasa ya kuwa na ndevu ndefu zaidi.Sarwan Singh ni raia wa Canada amekuwa akishikiliwa rekodi hiyo baada ya kupimwa akiwa nchini Italy (Rome) na kuonekana ana ndevu zenye urefu wa mita 2.495 sawa na Futi 8 na inchi 2.5.
 
Vyuma vitano vya ajabu vyaonekana duniani?.Kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita kumekuwa na taarifa mitandaoni ya kuonekana na kupotea kwa vyuma visivyofahamika katika sehemu mbalimbali duniani, vyuma hivyo vilionekana vikiwa na urefu wa futi 12 sawa na mita 3.7 katika sehemu zifuatazo,
 
Vyuma vitano vya ajabu vyaonekana duniani?.Kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita kumekuwa na taarifa mitandaoni ya kuonekana na kupotea kwa vyuma visivyofahamika katika sehemu mbalimbali duniani, vyuma hivyo vilionekana vikiwa na urefu wa futi 12 sawa na mita 3.7 katika sehemu zifuatazo,
 
1. Tarehe 18 novemba 2020 Jangwani Utah, MarekaniChini katika miamba mikubwa ya jangwa hilo kulionekana chuma cha ajabu na watu wa kuhifadhi wanyama pori wakiwa kwenye Helikopta walikiona chuma hicho.
 
2. Tarehe 9 disemba 2020 juu ya Glastonbury Tor, RomaniaKatika eneo hilo maarufu kilionekana chuma kinachofanana na kile cha Utah kikiwa kimelala chini bila ya kufahamika kimeletwa na nani.
 
3. Mwezi disemba 2020 katika fukwe za Isle of Wight, UingerezaNa huko pia kulionekana chuma kama kile cha Utah na Romania .
 
4. Tarehe 10 disemba 2020 katika mbuga ya taifa ya Dartmoor iliyopo karibu na kijiji cha Throwleigh nchini UingerezaNacho kilikuwa kama vile vya mwanzo lakini hiki kilisababisha hali mbaya ya anga katika eneo kilipo chuma hicho tu, hivyo mamlaka ya mbuga ilikiondoa ili hali ya anga kutulia.
 
5. Mwezi februari 2021 katika makutano ya barabara jijini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.Ni chuma pekee kufikia leo tarehe 27 februari 2021 kilionekana Afrika na kilionekana katikati ya mji na kilionekana mwaka 2021, chenyewe watu wameamka asubuhi tu wanakikuta chuma hicho, kutokana na kilihusishwa na masuala ya kishetani na Illuminati wananchi walikipiga mawe ili waone kilichopo ndani ya chuma hicho na baadae walikichoma moto.
 
Pua ina muunganiko wa karibu na sehemu ya ubongo inayohusiana na kumbukumbu. Ndiyo maana harufu inaweza kuamsha kumbukumbu muhimu za zamani.
 
Kusikiliza nyimbo za huzuni wakati una hali ya huzuni husaidia kuongeza hamasa ya kukufanya kuwa na furaha.
 
Koh-I-Noor; ndiyo almasi yenye thamani kubwa zaidi duniani. Ina uzito wa karati 105 (21.6 gm). Ipo kwenye taji la malkia wa Uingereza.Bei yake: Haina bei (priceless).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…