Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Namna mojawapo ni ile ya kuwatenga samaki kadhaa kwa kuwazunguka, na kisha kuanza kuwashambulia taratibu. Namna nyingine ni pale pomboo wanapowafukuzia samaki kwenye maji yenye kina kifupi na kisha kuwakamata kwa urahisi.