Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pundamilia wazee hushabihiana kwa kiasi kikubwa lakini madume na majike mara nyingi hutengana na familia zao na kuunda familia nyingine.
Unaogopa mitongozo ya kila siku na kila uendapo.Kubwa sana hilo jirani hahahahahah
Asante jiraniNawapenda wote[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059].
Muwe na jpili njema.
SawasawaKusikiliza muziki ni mojawapo ya shughuli chache sana ambazo zinasisimua ubongo wote.
AiseeMAMBO USIYOYAJUA KUHUSU POMBOO
Pomboo ni kiumbe mpole na mwenye akili sana. Inatajwa pia na baadhi ya wataalamu kuwa, baada ya binadamu, viumbe wanaofuata kwa akili ni pomboo pamoja na kunguru.